Home Apps Education
Fuga Kibiashara APK icon

Fuga Kibiashara APK

1.0 for Android 4.0 and up and up

Mr Mbena

Jifunze ufugaji wa kuku kibiashara. Unaweza kuanza biashara hii kwa mtaji mdogo

Package name: com.fuga.kibiashara

App hii ya fuga kibiashara inakupa fulsa ya kujifunza ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara. Pia unajifunza kufuga kisasa mifugo mingine yoyote unayopenda.

App hii Inaendeshwa na mtaalamu wa kilimo na ufugaji aliyesomea chuoni na kutunukiwa cheti cha ufaulu mzuri kwenye masomo yake hivyo utapata elimu sahihi na utaboresha ufugaji na kilimo bure kabisa.

Hata ukiwa kijijini ambako kuna upungufu wa watalamu wa kilimo na ufagaji bado mwalimu huyu utakuwa naye kwa kupitia app hii.

Iweke sasa app hii kwenye simu yako ili uweze nufaika na elimu inayotolewa na uweze kuuliza swalii lolote kuhusu ufugaji au kilimo.
What's New
App namba moja inayokufundisha jinsi ya kufuga kuku na mifugo mingine kibiashara

Category: Education , Similar

Date published: Jun 28, 2017

Current version: 1.0

Requires android: 4.0 and up

Content rating: na

Similar

Developer