Home » Apps » Books & Reference » Tenzi Za Rohoni
Tenzi Za Rohoni APK icon

Tenzi Za Rohoni APK

1.0.3 for Android 4.0 and up and up

Goodhopedesigns and Informatics

Vitabu vya nyimbo za kikristo vinavyotumiwa na makanisa Afrika mashariki na kati

Package name:

com.goodhopedesigns.tenzizarohoni

Ikiongozwa na maandiko kutoka wakolosai 3:16 'Application ' hii imekusanya vitabu vya nyimbo za kikristo vinavyotumiwa na makanisa mbalimbali Afrika mashariki na kati; Unaweza kutafuta nyimbo kwa jina au namba yake kwenye kitabu husika. Tunatarajia kuhusisha vitabu zaidi ya 10, version hii ina baadhi tu ya nyimbo maarufu kutoka kwenye vitabu 'Tenzi za rohoni', 'Nyimbo standard' na 'Tumwabudu Mungu wetu (zamani Mwimbieni Bwana)'.
What's New
KUTAFUTA NYIMBO
* Kwa jina la wimbo
* Kwa namba ndani ya kitabu

Category: Books & Reference , Similar

Date published: Jan 29, 2015

Current version: 1.0.3

Requires android: 4.0 and up

Content rating: Rated for 3+

Similar

Developer

Reviews

3.8
300 total
5 165
4 45
3 22
2 13
1 55